Tuesday, 16 September 2014

VODACOM YAANZISHA HUDUMA MAALUM KWA MAWAKALA WA JUMLA NA REJAREJA

Mkuu wa Idara ya Masoko na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania Kelvin Twissa (katikati) akiongea na waandishi wa habari wakati akizindua huduma ya LIPA KWA M PESA inayowawezesha wasambazaji wa huduma kupokea malipo ya mauzo kwa njia ya M-pesa kutoka kwa wauzaji wajumla. Kampuni ya Chai Bora na Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia wasamabzaji wake kampuni ya Mahawi zimkuwa miongoni mwa wasambazaji wa awali kutumia huduma hiyo. Wengine pichani ni Mwakilishi wa Mahawi Enterprises Joseph Mahawi na kulia ni Meneja wa maendeleo ya Biashara wa Chai Bora Martin Ng’ethe.
aadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania na Chai Bora wakifuatilia mkutano wa waandishi wa habari kuhusiana na uzinduzi wa huduma mpya ya LIPA KWA M PESA inayowawezesha wasambazaji wa huduma kupokea malipo ya mauzo kwa njia ya M-pesa kutoka kwa wauzaji wajumla. Kampuni ya Chai Bora na Kampuni ya Bia ya Serengeti kupitia wasamabzaji wake kampuni ya Mahawi zimkuwa miongoni mwa wasambazaji wa awali kutumia huduma hiyo.

Vodacom Tanzania imezindua huduma mpya ya  M-PESA ijulikanayo kama "LIPA KWA M-PESA – huduma hii mpya ya kisasa ni jumuishi ya mfumo wa malipo utakao wezesha makampuni, mawakala wa jumla na rejareja na wafanyabiashara wengine kulipia bidhaa zao kwa kutumia M-PESA.


Huduma hii mpya imekuja ili kuboresha mazingira ya wafanyabiashara na makampuni kwa kupanua mbinu za malipo kutoka kwa wafanyabiashara na makampuni na wauzaji wa aina mbalimbali, sasa mawakala wa jumla na rejareja wataweza kununua na kulipia bidhaaa zao kwa kutumia huduma hii ya LIPA KWA M-PESA. Njia hii mpya ni ya haraka, salama na inampa  mteja wepesi zaidi wa kufanya biashara.

Akiongea kwenye uzinduzi huo,Bw. Kelvin Twissa , Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano alisemasema, "Vodacom imekuwa ikiongeza thamani na kusaidia kuboresha mbinu za ufanyaji wa biashara nchini kwa kuanzisha huduma ambazo zitaleta mapinduzi kwa jumuiya ya wafanyabiashara, ili kuepuka dhana za zamani za utendaji wa biashara. Huduma hii mpya ya LIPA KWA M-PESA ni ya haraka, salamaj, urahisi na na inamrahisihia mteja kuondokana na dhana ya kubeba hela nyingi kila saa ". 

Wafanyabiashara wengi nchini wanapendelea kutumia fedha (cash) wanapo nunua na kuuza bidhaa zao, kwa sababu ni haraka. Hata hivyo nyakati hizi zinachangamoto kubwa ukifanya biashara kwa aina hiyo hasa wale ambao wanakipato kiasi na kikubwa cha fedha, aina hii ni tishio sana la kama wizi au  hata pengine kuhatarisha maisha ya mfanyabiashara. Lakini sio ujambazi tuu hata pia ni gharama kubwa kusafirisha fedha na inagharimu muda mwingi wa wafanyabiashara.

Huduma hii mpya ya LIPA KWA M-PESA ni mapinduzi ya biashara, mfumo huu umeunganishwa kwanye akaunti ya mteja ya M-PESA na pia inaweza kuunganishwa na akaunti yako ya benki, ni kumuwezesha wafanyabiashara na wauzaji kulipia bidhaa mara moja, na shughuli zote hii zinafanyika kwa kupitia simu yako ya kiganjani. Mfumo huu mpya, unamuwezesha wakala aliejisajili  kuweza kuweka hadi kiasi cha Tsh milioni 50 katika akauinti yake ya M-PESA tofauti na huduma ya M-PESA ya kawaida ambayo ina kikomo ya shilingi milioni 5. Mawakala wakubwa wanaweza kushikilia hadi Tsh bilioni 2 kwenye akaunti zao za M-Pesa. Hii ni fursa kubwa kwa jumuiya ya wafanyabiashara katika Tanzania kuanza kufanya biashara bila kua wanabeba noti kila saa. 


Twissa anaendelea kusema "Huduma hii mpya ni rahisi, salama, na ya kuaminika na haina gharama yeyote. Sasa hivi mfanyabiashara haitaji tena kusafiri kwenda kutuma fedha, njia hii ni ya haraka zaidi; Unabonyeza simu yako tu marachache tu kuhitimisha biashara. Haihitaji makaratasi wala mtandao wa Internet kwani imeunganishwa moja kwa moja na mtandao Vodacom GSM."

Jinsi inavyofanya kazi ni rahisi sana, hakuna uwekezaji unao hitajika. Mara baada ya wakala kujisajili anaweza kufanya shughuli yake yote katika njia salama sana, mfumo unakupa taarifa ya mesegi (SMS) ya uthibitisho wa kila muamala unaofanya baina ya wakala na kampuni na unaemtumia pesa hizo na yeye anapata uthibitisho kua ni wewe unaemtumia wewe. Huduma yote hii ni bure na sasa hivi zaidi ya wakala 24,000 nchini kote tayari wamejiunga na huduma. 

Akizungumza katika uzinduzi huo,Bw Olestus Mwalongo, ambae ni muuzaji wa vifaa vya ujenzi maeneo ya Buguruni, Dar es Salaam alisema "Nilitembelewa na Vodacom miezi sita iliyopita kwa kushiriki katika zoezi la kuitumia huduma hii, kabla ya kuletwa sokoni. Kwakweli faida ya huduma hii ni kubwa sana, kwanza utaratibu wake ni rahisi sana kama tu kama unapiga simu vile, pili unageuza maisha yako katika sura mpya. Zamani nilikua napata tabu sana kusafirisha fedha kwaajili ya kufanya malipo. Sasa hivi huduma hii imeniwezesha kupunguza gharama hizo na gharama zingine za uendeshaji. Sasa hivi nafanya biashara yangu kwa nafasi zaidi na nafarijika sana na huduma hii"


Kwa upande wake, Bw. Joseph Mahawi ya Mahawi Enterprises, wakala wa Serengeti Breweries alisema, 'Huduma hii ni salama na rahisi. Mimi sasa wanaweza kupokea malipo kutoka kwa wauzaji mbalimbali na kulipia mambo mengine huku nikipata taarifa za mahesabu yangu yote papo hapo. Huduma hii mpya inamfumo taarifa sahihi na ni kipengele kikubwa sana kwangu. Sasa naweza kusema biashara yangu inaenda vizuri sana na inaniruhusu mimi kufanya shughuli zingine. Sasa hivi nina muda zaidi wa kufikiria jinsi ya kukuza biashara yangu katika mwelekeo mpya. Zaidi ya hayo, siku hizi sipangi foleni kabisa kwenye taasisi yeyote ya fedha kusubiri kulipa wauzaji yangu. Sasa naweza kufanya hivyo nyumbani au mahali popote kwa furaha tu'. 

Kujisajili na huduma ni rahisi; Wafanyabiashara na wauzaji unaweza kutembelea wakala yeyote wa Vodacom alie karibu yako kwa maelezo zaidi na jinsi ya kujisajili. Vodacom imetenga dawati maalum la huduma kwa mteja wa LIPA KWA M-PESA.

 Kwa maswali zaidi unaweza piga namaba 1500 muda wa wowote ndani ya masaa 24 siku zote za Juma bure.

Jolla: kampuni mpya ya simu inayojitupa kuendeleza platform ya Meego.


As we all know, Nokia wameamua to go Windows in the past year (kupitia the Lumia linage) by signing with Microsoft as the providers wa OS kwa Nokia. What you probably dont know is that Nokia wana 'visu' viwili vikali sana (one released some time in the past and another a recent release). hapa nazungumzia Nokia N900 na Nokia N9. What makes these two gentlemen alike is the Meego spirit in them(the OS). Sijui if in Tanzania simu hizi mbili zimenunuliwa sana?(coz we buy what our close friends buy).
Personally, I once encountered the Meego OS, trust me when I say; multitasking has never been better than that. 
So if you think MeeGo is threatened (eti kisa Nokia washaitupa chini!); think again, coz the same team of Nokia engineers who made the mighty N9 are the ones who formed Jolla. 
Jolla is based on Finland (just like Nokia) na these guys have sworn to keep MeeGo in the market! I find it hard to believe though that there are people who still believe on OS like MeeGo to fight with giants like iOS and Android
Nokia N9

Je,Ungependa kununua Tablet? Samsung Note 10.1 is for you!

yeap! kwanza tufute notion ya kuwa tablets ni expensive for nothing, na ni za show off tuh! they really help, binafsi nathamini tablet kuliko laptop yangu, why? kwa sababu Idont have to place a modem ili nisome emails mpya, au habari (for business owners and employees) sina haja ya kutembea na rundo la handouts (for students) wala sihitaji kubeba the heavy laptop just for a movie!
if you are convinced, and want to own a tablet, i insist you get yourself a Samsung Note 10.1. sikuachii hapo, nitakupa sababu
Samsung Galaxy Note 10.1 coming July 30th 2012

1. Ina uwezo wa kupiga na kupokea simu.
while most current tablets (eg. all iPads) cannot access GSM voice communication, Samsung wamehakikisha flagship yao hii ya tablet ambayo itatoka 30th july hii ina uwezo wa kupiga na kupokea simu, now orriginally itakuja na speakerphone calling, so you need to have a bluetooth headset.
2. Ina uwezo wa kukuza storage.
wakati tablets nyingi zinakuja na fixed storage ya 16GB au 32GB au 64GB, Samsung Note inakuja na etra slot ya kuongeza memory, up to other 64GB ambazo kimsingi inakupa up to double the ability ya storage ya tablet yako.
3. Ina S-Pen Technology.
nikiwa Nairobi kikazi mapema mwaka huu nilikutana narafiki, wa karibu, by then he had the Galaxy Note yenye 5 inch na nikapata chance ya one and twos za s pen, trust me when i say, organising your stuffs has never been easier. unaweza ku take note kwenye vikao au lectures, ku note down appointments, drawing (for architects and artists) na vingine vingi, its like writting in a normal paper. HII NI MARA YA KWANZA TABLET KUWEKEWA S PEN.
Maujanja ya S Pen.

4. Bei inayoeleweka.
i keep wondering, why you have to buy an expensive tablet (wengine hadi 1.8 million Tshs), mhhhhh? Samsung has announced this oiece will be available in the US at $550, meaning its less than 1M madafu, poa weka weka na ulanguzi wa wahindi na waarabu hapo madukani (if you decide to buy it here) ni kama 950,000 au 1M kamili,
5. Android Jellybean ndani.
not confirmed yet lakini its 90% certain kua huu mzigo utashuka na android jellybean... kuhusu android makala yake hii hapa ANDROID

TOYOTA ALTEZZA: that one never ending dream

.



(published by special request of "Mimi Mwanafunzi"  facebook user)
the word altezza is Italian; meaning HIGHNESS!
It was a beautiful morning, with that cold weather of last days of June 2011, around 7:30 in the morning as I was walking up the dusty paths of  Morogoro Municipality when I first saw this one up close. it was the 2003 model of Toyota Altezza parked opposite Shani Building. the feeling I got was just so amaizing that I never let go up to now, infact, the dreams have been there in my mind ever since...
As you know, this is a 4 door sedan that looks rather sporty, specially segmented for young and upcoming professionals, but (and this is a big but) ANYONE CAN DRIVE THIS BEAST.
Toyota made this car in 1998, 2000, 2001, 2002, 2003 and 2004; so we have five(6) generations of this car and lucky enough; Altezza is specifically made to take in 2.0litres (2000cc) fuel in a round (displacement), all models are powered by a petrol engine.
there is no actual engine difference in all these models except for gearbox since some run automatic and others manual, while some of these beasts drive at 4 gears others are positioned at six.
i went into trouble of looking up for pricing and calculating how much it will cost you for a standard one;
here is the breakdown

Year: 2003

FOB: $1650
shipping and insurance: $1050
taxation according to TRA calculator: $3007
total: $5707

with exchange rate of TShs1585 for $1 it comes to TShs 9,045,595

i also  feel it is wise to display the monster himself over here..


NASA yashindwa kubaini vimondo

    shughuli zikiendelea anga za juu

Shirika la safari za anga la juu nchini Marekani NASA,imeoneshwa ukinzani kutokana na kushindwa kung'amua vitu vya hatari angani.
Shirika hilo linajaribu kubainisha vimondo na vitu vingine ambavyo hupita katika umbali wa kilomita milioni arobaini na tano katika uso wa dunia ili kujaribu kuilinda kutokana na hatari inayoweza kutokea.
Lakini mpaka sasa NASA imegundua asilimia kumi ya makisio yake na haidhaniwi kua malengo iliyojiwekea mpaka kufikia mwaka 2020 endapo yatafikiwa na huku muda wa mwisho wa kutoa ripoti kuhusiana na masuala ya anga ukifikia tamati.
Vimondo na vitu vingine husambaratishwa angani kabla havijaufikia uso wa dunia lakini vingine si rahisi.mwaka wa jana kimondo kimoja kiliripuka huko Urusi katika mji wa Chelyabinsk kikiwa na kasi kuwa wakati kikishuka mjini humo kasi ambayo ni mara thelathini zaidi ya bomu la atomic lililotupwa Hiroshima.

12 Unique Apple Watch Bands We Want on Our Wrists

Watches1
IMAGE: APPLE
Tim Cook calls the Apple Watch the most personal device the company has ever created.
We'd like it to be a bit more personal.
The new Watch, which starts at $349, is highly customizable, with a variety of different bands, from leather, to stainless steel to fluoroelastomer. But much like the original iPhone case, it's only a matter of time before third party designers start creating their own unique wristbands.
There's so much that's been left undone with the bands. Where are the crazy prints, the plaid, the solar-powered? We let our imaginations run wild and came up with 12 types of bands that are absolutely vital once the Watch finally arrives in early 2015.

Use of Social Media in Procurement

 SocialMedia_1


Every procurement professional recognizes that web technology initially developed for consumers plays an important role in his or her workspace. He issues RFI’s on an online marketplace and orders his new laptop from the internal service catalogue. Very similar to the platforms used in his private life to sell the second hand bicycles of his children or buy a new mobile data subscription.
Back in 2012, Ruud Olthoff, CPO of Rabobank, spoke about the importance and opportunity for the use of Social Media in procurement at an event in Italy. Check out his presentation here. He illustrates the opportunities for procurement professionals to use social media and gives a lot of practical information. Reading his presentation again I also realized how fast the world has developed in this area in the last two years.
Until recently procurement professionals had to access multiple social media platforms and do “manual” research. Social media was not yet integrated into procurement  applications. CRM was the first domain to draw on information and functionality from social networks and present them to the user based on his/her role. One of the first to adopt was Salesforce.com; a good example of turning social media into hard business benefits and cash.
Procurement is catching up; today many of the large ISV’s (SAP, Oracle, Emptoris etc.) have – or are - integrating social media technology in their standard offerings. The strategic importance of this technology is illustrated by SAP’s acquisition of Ariba and recently Fieldglass; both key players in this arena. New players are also lining up to occupy this space. Niche players like Mazree offer simple and effective Cloud based services to collaborate with Suppliers. The market for these services is evolving quickly and expected to grow significantly the next few years.
This is a good example of yet another consumer technology that is finding its way into the procurement workspace. I’ll be following the developments in this area and am interested in hearing your views and experiences.
Author: Ray van Amerom. Ray is Managing Partner at Berkx and regularly posts on the blog Procurement Talk.

What's Trending?

KAJO ITECH. Powered by Blogger.

KAJO ITECH