yeap!
kwanza tufute notion ya kuwa tablets ni expensive for nothing, na ni za
show off tuh! they really help, binafsi nathamini tablet kuliko laptop
yangu, why? kwa sababu Idont have to place a modem ili nisome emails
mpya, au habari (for business owners and employees) sina haja ya
kutembea na rundo la handouts (for students) wala sihitaji kubeba the
heavy laptop just for a movie!
if you are convinced, and want to own a tablet, i insist you get yourself a Samsung Note 10.1. sikuachii hapo, nitakupa sababu
1. Ina uwezo wa kupiga na kupokea simu.
while most current tablets (eg. all iPads) cannot access GSM voice communication, Samsung wamehakikisha flagship yao hii ya tablet ambayo itatoka 30th july hii ina uwezo wa kupiga na kupokea simu, now orriginally itakuja na speakerphone calling, so you need to have a bluetooth headset.
2. Ina uwezo wa kukuza storage.
wakati tablets nyingi zinakuja na fixed storage ya 16GB au 32GB au 64GB, Samsung Note inakuja na etra slot ya kuongeza memory, up to other 64GB ambazo kimsingi inakupa up to double the ability ya storage ya tablet yako.
3. Ina S-Pen Technology.
nikiwa Nairobi kikazi mapema mwaka huu nilikutana narafiki, wa karibu, by then he had the Galaxy Note yenye 5 inch na nikapata chance ya one and twos za s pen, trust me when i say, organising your stuffs has never been easier. unaweza ku take note kwenye vikao au lectures, ku note down appointments, drawing (for architects and artists) na vingine vingi, its like writting in a normal paper. HII NI MARA YA KWANZA TABLET KUWEKEWA S PEN.
4. Bei inayoeleweka.
i keep wondering, why you have to buy an expensive tablet (wengine hadi 1.8 million Tshs), mhhhhh? Samsung has announced this oiece will be available in the US at $550, meaning its less than 1M madafu, poa weka weka na ulanguzi wa wahindi na waarabu hapo madukani (if you decide to buy it here) ni kama 950,000 au 1M kamili,
5. Android Jellybean ndani.
not confirmed yet lakini its 90% certain kua huu mzigo utashuka na android jellybean... kuhusu android makala yake hii hapa ANDROID

Samsung Galaxy Note 10.1 coming July 30th 2012 |

Maujanja ya S Pen. |
4. Bei inayoeleweka.
i keep wondering, why you have to buy an expensive tablet (wengine hadi 1.8 million Tshs), mhhhhh? Samsung has announced this oiece will be available in the US at $550, meaning its less than 1M madafu, poa weka weka na ulanguzi wa wahindi na waarabu hapo madukani (if you decide to buy it here) ni kama 950,000 au 1M kamili,
5. Android Jellybean ndani.
not confirmed yet lakini its 90% certain kua huu mzigo utashuka na android jellybean... kuhusu android makala yake hii hapa ANDROID
0 comments:
Post a Comment